Mikakati ya Mtandaoni kwa Shule na Vyuo:Jinsi ya Kupata Wanafunzi Wa Kujiunga na Masomo Katika Shule au Chuo Chako

Original price was: Sh 25,000.Current price is: Sh 20,000.

Jinsi ya Kupata Wanafunzi Mtandaoni kwa Shule na Vyuo Binafsi ni mwongozo wa kisasa kwa shule na vyuo binafsi kujifunza jinsi ya kuvutia wanafunzi mtandaoni kwa kutumia mbinu za ufanisi wa kidijitali. Pata maarifa ya kutangaza, kutumia Google Ads, na kuboresha Google Business Profile ili kuongeza idadi ya wanafunzi.

Jinsi ya Kupata Wanafunzi Mtandaoni kwa Shule na Vyuo Binafsi ni muongozo kamili kwa wamiliki wa shule na vyuo binafsi wanaotaka kuongeza idadi ya wanafunzi kupitia matumizi ya mbinu za kisasa za mtandao. Kitabu hiki kimejaa mikakati ya kisasa ya kutumia majukwaa kama vile Facebook, Google, Instagram, na LinkedIn, ili kuimarisha uwepo wa shule au chuo lako mtandaoni. Utapata mbinu za kutangaza, jinsi ya kuunda matangazo ya kuvutia, kutumia Google Ads, na kuboresha Google Business Profile ili kuvutia wanafunzi wapya. Kitabu hiki ni nyenzo muhimu kwa taasisi yoyote inayotaka kukuza idadi ya wanafunzi na kufanikiwa katika ulimwengu wa kidijitali.